Huduma na Ubora
wa Uhakika

Tunatimu ya wataalamu waliobobea ili kuhakikisha Huduma zetu ni zenye Ubora na Uhakika.

Kuhusu Sisi

TORPEDO FREELANCE GROUP (T.F.G) ni kikundi kilichoundwa na wanachama 16 mnamo tarehe 01, Agosti 2023 lengo likiwa ni kuunganisha nguvu, ujuzi na taaluma za wanachama ili kuwawezesha kufanya kazi za Ufundi Umeme kwa ufanisi.

Moja kati ya malengo makuu ya kikundi hiki ni Kusaidia/Kusukuma mbele kwa kasi maendeleo ya Serikali kuwafikishia huduma za umeme wanannchi kwa wakati pamoja na utunzaji wa miundombinu hasa katika nyanja ya nishati.

Huduma Zetu

Kujenga Njia za Umeme

Tunajenga njia za umeme 33KV (H.T),
11KV (L.V) na 11KV (L.T).

Kujenga Service Line

Tunajenga Service Line 3 Phase na Single Phase.

Kufunga Mita (LUKU)

Tunafunga Mita (LUKU) 3 Phase na Single Phase

Kubadili Nguzo Zilizoharibika

Tunabadili Nguzo Zilizoharibika.

Kubadili Mita Zilizoharibika

Tunabadili Mita (LUKU) Zilizoharibika

Kuweka Mifumo ya Umeme

Tunaweka/Tunatandaza mifumo ya umeme kwenye majengo 3 Phase na Single Phase.

Kutatua Matatizo ya Umeme

Tunatatua matatizo yote ya umeme ikiwemo Shoti.

Kusafisha Miundombinu ya Umeme

Tunasfisha njia za Umeme kwa Kufyeka, kupalilia na kukata mitili iliyosonga njia za Umeme.

Wanachama

Mawasiliano